Recent content by baltazarmushy

  1. B

    post za form 5 zitatoka lin?

    kwa ss niko singida,naomba unipe full detail za hapo ilboru ili nijue jinsi ya kujipanga ili mwez march nianze rasmi
  2. B

    post za form 5 zitatoka lin?

    we mzee!mbon unataka kuleta itikadi za ujuaj xana!kwan mi 2014 nikipost jins ya kujiunga veta we inakuhusu nn?kwa nn ucwapishe wataalam wajibu hii post?au unaona raha xana kuwakatisha tamaa wenye nia ya dhati ya kuwasaidia watanzania wenzao?mzee mi nina wacwac na ww! Ucpanic mzee naomb nijibu...
  3. B

    bibi na mjukuu

    kamalizie kwanza kukavut hako kakipis ulichokaacha then utupie thread nyingine!
  4. B

    post za form 5 zitatoka lin?

    .....thanx!! Sentor unakacofidenc xan mzaz! Keep it up....lkn inawzkna hujtambui kuwa na ww unamapunguf, kwa mtazamo wang naona unaweza xana kuleta +ve changes ktk jamii lkn endapo soon utamuona mshaur wa kisaikolojia! Lkn hamna noma ukinreply nikukonect na watalaam au hutak kutimz ndoto zako?
  5. B

    post za form 5 zitatoka lin?

    baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa...
  6. B

    Nahitaji msaada wenu

    wkt natumia voda intanet nilikuwa nawez kuwatch videos ambazo format zake cm inasuport bt since nianze ku2mia airtel intanet inakata kabsa it look lyk airtel hawajahost hii progm??...any idea pls!
  7. B

    Nahitaji msaada wenu

    kila nikijaribu kuwatch vidios za youtube kwenye simu inashindikana, msaada tafadhali natumia internet ya airtel simu ni nokia 5300
Back
Top Bottom