Nahitaji msaada wenu

baltazarmushy

Member
Feb 19, 2012
8
0
kila nikijaribu kuwatch vidios za youtube kwenye simu inashindikana, msaada tafadhali natumia internet ya airtel simu ni nokia 5300
 
Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali.
 
Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali.

wkt natumia voda intanet nilikuwa nawez kuwatch videos ambazo format zake cm inasuport bt since nianze ku2mia airtel intanet inakata kabsa it look lyk airtel hawajahost hii progm??...any idea pls!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom