Recent content by BaloziWaMitaa

  1. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni benki gani yenye huduma ya Wari network Tanzania?

    Habari wana JF, Msaada tutani, ningependa kufahamu kwa hapa Tanzania ni bank gani yenye huduma ya "Wari" inayomuwezesha mteja na asiyemteja kutuma pesa na kupokea kutoka nje ya nchi. BOA (Bank of Africa) nakumbuka miaka miwili ikiyopita wamewahi kui-endorse hii huduma lakini leo nimepita...
  2. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Uandishi wako umedhihirisha kuwa wewe ndiye uliyekuwa Mume wa huyo binti ,na hayo ni baadhi ya masaibu yaliyokukuta na ukakwazika nayo ,andishi lako linadhihirisha mkeo pia ana udhaifu wake mkubwa na Wa aibu ambao kwa sababu ya staha na mapenzi yako juu yake inakufanya ushindwe kuyaanika hapa...
  3. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi nyie mnaakili kweli?,hiii pesa mnanikopesha au ni yangu niliiweka ili mnihifadhie ?,inakuwaje nikija kuitoa kwa shida zangu binafsi mnataka kujua NATOA KWA AJILI YA MATUMIZI GANI?,aisee this is too much na mnavuka mipaka...........JIBU LA HII FOMU KWA JINSI NILIVYOIJAZA NI UJUNBE TOSHA...
  4. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi serikali kujua mapato na matumizi ya kanisa?

    Katika nchi mbali mbali Duniani, na Tanzania ikiwemo, pamekuwa panatokea misuguano ya hapa na pale; Vyombo husika vya serikali vikitaka kuonyeshwa MAPATO na MATUMIZI ya pesa zinazokusanywa (a.k.a SADAKA) na Wachungaji/Wainjisti/Maaskofu au msimamizi yeyote anayehusika! Je, Ni sawa kwa Serikali...
  5. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani ndani ya kitabu cha Ngoswe?

  6. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Iliponisogeza kwenye lango la mauti. Mtu nisiyemfahamu toka Zanzibar alivyonirudisha kwenye uhai

    Ingia mkenge kama una tatizo na anza kuchat na huyo jamaa kwa nia ya kuomba kuunganishwa na huyo mzenji ucheki movie yake,watu wana akili kuliko udhaniavyo ,WATU HAWAISHIWI VIPINDI,team za watu hizo zimeshaumiza kichwa jinsi ya kutusua kupitia huruma za story kwa namna hiyo.
  7. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke .

    Bila shaka hata tukifikia hatua hiyo ya kukaa ,kushinda na kutembea uchi may be inaweza isiwe na tatizo saana,maana itakuwa kama tumerejea kwenye asili yetu.
  8. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke .

    Mkuu Kwani tatizo ni duduz tu au ni pamoja na vingine?,walau umeanza kunipa mwanga lakini.
  9. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke .

    Wadau mambo vipi,eti kati ya mwanaume na mwanamke ni nani ambaye akiwa uchi mbele ya umati wa watu anapendeza kwa muonekano wa kila kitu?,yaani kiasi aibu ya mmojawapo inaweza kuwa ndogo kuliko mwenzie.
  10. BaloziWaMitaa

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Vyombo vyetu vya usalama kujichukulia sheria mkononi

    Tabia ya Vyombo vyetu vya usalama kujichukulia sheria mkononi imekuwa zoefu kwa miaka mingi sasa,na hasa pale linapotokea tukio la mmoja wao kukorofishana au kudhuriwa na Mwananchi katika mazingira Fulani. Wamekuwa wakijikusanya na kuingia mtaani kupiga watu hovyo bila kujali nani alihusika au...
Back
Top Bottom