Recent content by Balozi wa akili

  1. Balozi wa akili

    Naombeni ushauri ili nitoke kwenye kurizika na mpenzi mmoja

    Hii changamoto imekua kubwa sana kwenye ndoa, Option B ni nzuri zaidi na akija shituka tu anakuta too late..litaachwa jitu
  2. Balozi wa akili

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Magwaya kama unapiga vileee daah[emoji1787][emoji1787]
  3. Balozi wa akili

    Evelyn wa chumvi...

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
  4. Balozi wa akili

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Nakushauri anza upya, yaani angalia atachiments kama zipo mbili then delete anza upya Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
  5. Balozi wa akili

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Nayo ni njema pia,bless.[emoji109] Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
  6. Balozi wa akili

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Umekosea izo index numbers, usianze kwa kuandika S ndogo,start with S kubwa then tumia hyphen(-) kutenganisha no ya shule na namba ya mtihani..yaani isomeke hivii S1755-0357. Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
  7. Balozi wa akili

    Nina tatizo la usikivu. Je, ninaweza kusomea kozi gani kuendana na hii hali?

    Ninakushauri usomee education, ualimu wa watu wenye mahitaji maalumu, najua utajifunza lugha ya alama na utakua mwl mzuri kwa watu wenye shida kama hiyo. Udom wana hiyo course inaitwa Special Needs Education ni nzuri sana kwasababu ya mazingira rafiki..utapata walimu na wanafunzi wenzio wenye...
Back
Top Bottom