Recent content by balima

  1. B

    JamiiForums Tanzania Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

    well said aslimia mia moja iko hivyo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    HABARI ZA MUDA HUU WAUNGANA Napenda niwashukuru kwa michango ya mawazo yenu mliyoitoa ktk wakati mgumu niliokuwa nao ukiachia changamoto zilizojitokeza, imenisaidia kwa kiasi kikubwa mno hivyo nawashukuru sana. Samahanini kwa wale mlioona kuwa ni usumbufu lkn pamoja na changamoto hizo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    Sheria ni msumeno ukivunja sheria ya maandamano utapigwa tu Le Mutuz Ipo cku yatawarudia haya uyanenayo kwa mwenzako, ni kwa sababu hamtakaa madarakan milele yote...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    ASANTE KWA USHAUR WAKO, NATAKA NIKAJILAZIMISHE KWAN USHAURI MWINGI HUMU UMENITIA MOYO, acha nikajarib yataingia hata kidogo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Ni kweli tulizo, sitapokea tena hizo ofa zake, nimejuta.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Nakushangaa husomi mimi nimeshindwa tu kwa sabb ya hz stress, tena muda c mref nilikuwa hapo hapo malimbe complex
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Sitaintatain mambo yatakayonipelekea kufika huko
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Na ndicho ninachoamua kukifanya kwa sasa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Asante kwa ushaur, hapana mkuu mimi nipo kanda ya ziwa..
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Asante kwa ushauri wako nitautendea kaz
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    nitajirekebisha naahidi kutorudia tena
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Yaan nimeapa siirudii tena ndo mwisho jana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Wala siirudii tena, nimeapa.
Back
Top Bottom