Recent content by Balile

  1. B

    Tuache siasa, bandari yetu ya Dar es Salaam ni dhahabu

    Mungu akubariki sana kwa kauli hizi nzuri sana
  2. B

    Tuache siasa, bandari yetu ya Dar es Salaam ni dhahabu

    U Ahahahahahahaha!! Huyu Balile njaa tu kuna siku pale Ikulu Rais Samia alimwaga siri zake pale Ikulu aliposema Balile wewe nakufahamu vizuri siku nyingine unanipigia...
  3. B

    Balile wa Gazeti la Jamhuri tuhuma hizi ni zako, jikague ndugu!

    Mimi nikushauri jambo moja tu, tena kwa upendo wa Mungu. Unaweza kufikisha ujumbe wako, bila kuaibisha nafsi yako kwa kuporomosha matusi. Ni wazi kwa kujua utendalo, hauna hata uthubutu wa kuweka jina au simu yako hapa. Mwogopeni Mungu. Yaneni yakiyo ya haki na vizazi vyenu vitabarikiwa. Tupo...
  4. B

    Balile wa Gazeti la Jamhuri tuhuma hizi ni zako, jikague ndugu!

    Ndugu Salaam, Kama ni jitihada za kunichafua, mmefanya muda na miaka mingi. Mmeniita chawa, mmeniita CCM, mmeniita CHADEMA, mmeniita CUF... kila jina mliloweza mmeniita. Njia ya mwongo ni fupi. Para ya mwisho inakusuta. Unaniitaje mtu makini, huku ukiniona mimi ni mpigaji? Nimefanya kazi...
  5. B

    Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

    Had you had the opportunity to watch or listen to what I said you wouldn't have engaged yourself into this concocted discussion with malice aforethought... Anyway, may be you are part of the game. But to preserve your dignity go to the YouTube account, everything is there. Even the purported...
  6. B

    From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!

    Pascal mimi nilikuwa tayari kwenda ila mtu niliyeelekezwa kwake majibu yake idhani sina nauli naomba lift. Organizers have to be smart on who is manning ther publicity kit
  7. B

    Neville Meena wa Jukwaa la Wahariri kurejea nchini leo kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya matibabu

    Wapendwa mimi taarifa nilizonazo ndiyo hizo nimezitoa. Sasa kama kuna mtu ana taarifa za ziada na tuhuma hizo zinazotolewa kwa innuendo dhidi yangu ziwekeni wazi. Lakini nawaambia tukiigeuza Tanzania kuwa nchi ya lawama, mashaka na tuhuma zisizokuwa na uhakika dhidi ya kila awaye, nchi hii mtu...
  8. B

    Neville Meena wa Jukwaa la Wahariri kurejea nchini leo kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya matibabu

    Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena leo anarejea nchini kutoka Afrika Kusini alikokuwa anapata matibabu (check up). Meena alikwenda Afrika Kusini Septemba 20, mwaka huu baada ya kuwa amelazwa Muhimbili kwa siku 12 kutokana na maumivu ya kichwa. Madaktari wamempima na...
  9. B

    Tiba kwa Neville Meena

    Wahariri salaam, Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba. Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena ni la kawaida na wala halihitaji upasuaji. Wamesema watamwangalia kwa siku chache kisha atarejea...
Back
Top Bottom