Recent content by BALIKUMI

  1. BALIKUMI

    Kilimo cha kumwagilia kwa njia ya matone

    Ok nashukuru, tofauti hutokeaje mkuu.
  2. BALIKUMI

    ILANI ACT 2020 - Katiba, Muungano Utawala wa Sheria na Uraia pacha

    Mambo mazuri tatizo utekelezaji maana sisi wa tz nimafundi wa nadhari akija vitendo changamoto.
  3. BALIKUMI

    Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Nampenda lakini hamna kitu kipya cha kujivunia kutoka kwake kwani hakuna tofauti kati ya mwanasiasa na mwanasiasa!!!!!!!...
  4. BALIKUMI

    Kilimo cha kumwagilia kwa njia ya matone

    Jamani wana Jukwaa la Kilimo nahitaji kujua inakosti kiasi gani kufungiwa hii mipira kwenye shamba la nusu heka? Na je, nawapateje wanao funga ile mipira?
  5. BALIKUMI

    GE2020 Yanayotokea Tanzania Leo yalitokea Indonesia 1998

    Kiongozi hawezi kubadilisha uchumi wanchi kama wananchi hawajabadilika, katika mambo kadhaa, kama kufanya kazi kwa bidii, kubadili mtizamo kwa kuacha kutegemea kuajiriwa kisha kujiajiri, na kuachana na kulalamika kijiweni kwa kisigizio hakuna kazi. Hata aje malaika kutuongoza watanzania bado...
  6. BALIKUMI

    RIP Avicii

    RIP
  7. BALIKUMI

    CAG adai Serikali ya awamu ya tano inahujumu maendeleo ya sekta ya utalii

    Nadhani tumechoshwa na mambo yenu ya kipuuzi badala ya kujadili mambo ya maana mnajadili mambo ambayo hayana maslahi kwenu duh! Kazi ipo!
  8. BALIKUMI

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Chamsingi Cdm ilete watu wanaokidhi vigezo kuliwakilisha taifa letu hata mbowe mwenyewe!
Back
Top Bottom