Recent content by Balichako

  1. B

    JamiiForums Ofisi ya Taifa Takwimu (NBS) yakanusha kupungua kwa ajira Serikalini

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKANUSHA HABARI ILIYOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII YA KUPUNGUA KWA AJIRA SERIKALINI Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inakanusha habari iliyosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Jamii Forum yenye kichwa cha habari “NBS yakiri ajira sekta binafsi...
  2. B

    JamiiForums Taarifa kuhusu makato ya GEPF kwa wadadisi wa HBS

    Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwataarifu wadadisi wote waliohusika katika kazi ya kukusanya takwimu za Mapato na Matumizi ya kaya wa mwaka 2017/18 kuanzia Desemba 2017 hadi Novemba 2018, kuwa NBS ilikuwa inapeleka michango ya wanachama kwa kila mwezi GEPF sambamba na malipo ya...
  3. B

  4. B

    JamiiForums Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

    Taarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha. Gavana Luoga amesisitiza...
  5. B

  6. B

    Watu waache upotoshaji, taarifa kamili hii hapa!!!
  7. B

    JamiiForums Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD

    Na Mwandishi wetu Dar es Salaam 5 Oktoba, 2018 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Akizungumzia tukio hilo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi...
  8. B

    JamiiForums TRA yawakamata watu wawili kwa kosa la kugushi risiti za EFD

    Na Mwandishi wetu Dar es Salaam 5 Oktoba, 2018 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Akizungumzia tukio hilo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi...
  9. B

    JamiiForums Uchumi wetu unakua kwa 7%? Uchambuzi wa viashiria (indicators) unaonyesha GDP inakua kwa 2%-3% tu- Zitto Kabwe

    TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA Pato la Taifa (GDP) ni jumla ya thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa katika Nchi katika vipindi mbalimbali. Vipindi hivi vinaweza kuwa robo mwaka, nusu mwaka au mwaka mzima. Takwimu za Pato la Taifa zinatayarishwa kwa kuzingatia matakwa ya Mfumo wa Umoja wa...
Back
Top Bottom