Recent content by balibabambonahi

  1. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Kwani wewe unafikiri hiyo bastora ilikuwa kabatini? Hujasikia kwamba walikuwa na migogoro kabla.Kajifunze kwanza nini kinaamua kuwa murder au manslaughter Using an arm against unarmed person ni excessive force au siyo excessive force?.Angekuwa imetokea coincidence labda kamfumania kabla heat...
  2. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Wanasema ana kansa ya tumbo.Kama ni kweli hata hukumu haitamkuta atakuwa ameenda zake
  3. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Hakuna provocation ya hivyo,provocation inabidi tendo kuudhi au kudhalilisha utu liwe limefanyika Muda huo huo,linaangaliwa kitu inaitwa heat passion.Jamaa alijiandaa kufanya tukio kwa Muda mrefu.
  4. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Manslaughter na bunduki,manslaughter na migogoro yote iliyokuwepo kabla? Manslaughter wakati inatajwa jamaa hakuwepo miezi miwili aliporudi Moja kwa Moja akaua.Hapo hakuna manslaughter mkuu,hii ni murder.
  5. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Huyo reasoning Gani huyo? Kwani house girl alikuwa mumewe hadi kipimo cha maisha ya mke na mume? Unaweza kutumia kigezo hicho kufanya hitimisho?
  6. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    Kama Kuja si angekuja tu kwani ilikuwa lazima apige simu
  7. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Kwanini asmpasue kama Kweka
  8. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

    Hiyo inajulikana ni UGAIDI ama UHAINi
  9. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Nimeishamaliza KAZI,polisi wa zamu: KAZI Gani? Mwamba: si yule mwanamke aliyekuja kunishtaki. Polisi: umemfanyaje? Mwamba :Nimemfumua ya kichwa. Polisi. Umemfumua na ngumu? Mwamba:Ngumi! Eehe,chezea hii( anamuonesha bastla) Polisi:Samahani,naomba uiweke hapa mezani(anaiweka) Polisi anatoka...
  10. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Wakawaida sana hafu demu pisi
  11. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Huyo hajuti Wala nini na ndo maana hakujificha kama yule wa magunia ya mkaa.Huyu naamini anaamini alichofanya ni Bora kuliko ambacho kingetokea.
  12. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Wanawake ni waongo,mshikaji alivyo kama angekuwa kapuku yule demu asingemkubali.Inaonekana jamaa alikuwa vyena kifedha labda hapo kati mambo yakaharibika ndo demu akaanza kumzingua.Mwanaume hajaeahi kumuua mwanamke kwa sababu ya mali ya mwanamke.Isitoshe huyo mwanamke umezaa naye,sasa aliandika...
  13. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Hapo hata mimi nashangaa ,kwanini uandike jina la mtu mwingine wakati wewe ndo unanunua? Hata wale wanaoandika majina mawili ilihali anayetoa pesa ni mmoja,nao ni ujinga.Niliwahi kufanya hivyo,kimbembe kikaja ,mwanamke hatuelewani na nataka kuuza kiwanja.Mwanamke akamwambia dalali kiwanja...
  14. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Mwanya pekee ni kama ikiwa kuua bila kukusudia yaani manslaughter.Kama ikibaki mada hakuna mwanya tena .
  15. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Adhabu ya kuua makusudi ni kunyongwa hadi kufa.
Back
Top Bottom