Recent content by BaLara

  1. BaLara

    Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

    Umeona mbali na upo sahihi kabisa medeama wakikimbizwa vizuri wakata moto [emoji106]
  2. BaLara

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Natamani kusikia mapadri na maaskofu wakimpinga papa kwa wingi ili ashindwe wa kumfukuza na mwisho wa siku papa ajiuzulu nafasi hiyo kwani imeanza kumpwaya
  3. BaLara

    Tetesi: Yanga sc Kushusha Mbadala wa Aucho

    Jambo la heri kama in kweli.........na pia likifanimiwa hili tutarudi kukupa maua yako.......na utoe number ya simu kwa maana tutatuma nayakutolea
  4. BaLara

    Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

    Maji kwa wingi alafu zingatia msosi kwa wingi... .nyama nyama...kitimoto ugali na ndizi
  5. BaLara

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Huyu papa sio analigawa kanisa Catholic......sasa kama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wanaweza kusimamia ndoa........inamaana ili usimamie ndoa silazima na nyie muwe mmefunga ndoa.....inamaana sasa soon roman catholic wataanza kufungisha ndoa za wapenzi wa jinsi moja (mashoga)...
  6. BaLara

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
Back
Top Bottom