Ase mzee ulipa hii .. daah naitafuta saana.. hongeraaa hongeraaa eeeh maria kwa mzaaa mwana leo hiiiiii.. nchi ilikaaa kimyaaaa….
Niusiku wa mananeeww bwana Yesu alipo zaliwaaaaaaaaa
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!
Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana!
Ushauri tafadhali..!
Hapana. Na hakika ndugu, mwaka huu hakuna aliendesha gari yangu . Narudia tena hakuna, wala sijawahi acha sehemu yeyote, ni uhuni umefanyika, na kwa nini serekali ina ruhusu kuandika faini kwa kutumia plate number? Ni rahisi sana kuwepo na uonevu.
Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.