Sio msikitini tu hata makanisani majini yanaingia ila maovu na ndio maana unaona huko watu wanadondoka.
Majini ni viumbe wa MUNGU kama tulivyo sisi binaadamu ispokua sisi hatuwaoni ila wao wanatuona. Majini wanaonekana na kufahamika kimakosa na wengi kati yetu. Hii ni kutokana na kuwa wao...
Upo sahihi,
Abu Maryam' ni swahaba na jina lake hili linatokana na suratu Maryam. Yeye mwenyewe alisema 'Nilimuendea mtume s.a.w nikamwambia ewe mtume, usiku huu ambao mimi nimekuja kwako nimeruzukiwa mtoto wa kike (yaani mkewe amezaa mtoto wakike). Baada tu ya mkewe kuzaa yeye akakimbilia kwa...
Imeitwa Surat Al-Jin kutokana na mada yake, kwani ndani yake tukio la Majini kuisikia Quran na kuukubali uilsamu kisha kurudi kwa wenzao kwenda kuwahubiria Uislamu.
Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa akisafiri kutoka Makka kuelekea soko la `Ikadh huko Taif ili kuwaalika watu wengi waliokuwa...
Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii.
Kisa cha Bi Maryam katika...
Mada hiyo ni ya kiislam kwakua ndani kuna taarifa za magaidi yanayochafua taswira na sifa za dini ya kiislamu kwa kukatisha uhai wa binaadamu. Watu hao wanatumia uislam kwa lengo la kuuchafua. Hivyo ni lazima sisi kama waislam kuitaarifu jamii kwamba hao ni magaidi wanatumia uislam kwa lengo la...
MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure.
.....
Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
Third World War Info
-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.
-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.
Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu
Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel.
-Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
CCTV Crime News
Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.
................
Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu
.....
Hili hapa pigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.