kwa hiyo hiyo Richmond unaona ni kitu kidogo sana?Pia hata huyo rafiki yake ambaye hawakukutana bara2ni pia tungekuwa na uwezo tungemtoa Ikulu maana ndo wale2,Yaani usiwadanganye watu eti anapendwa huo ni uongo unataka upinzani wapite tu wakimsimamisha el,au unadhani watampa kwa ajili ya...
Kwa hiyo bado tupo zama za mawe,mi nilikuwa sijui kuna aja gani ya kusema utandawazi,basi kila kitu tufanye vya kizamani,pia mwambie na mama aache mkorogo
jamani kwani unataka waishi maisha ya namna gani?hivi unajua ya kuwa kuna wananchi ambao wamewapigia kura hao unaowatetea lakini mlo wao wa siku ni issue?kaka shukuru umekuta neema kwenu,kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa kuliko zao kwa ujira mdogo sana,wao walikubali kutumikia taifa watumike...
Kwanza mmeshasema lugha ya malkia sasa inakuaje mnaloloma ovyo,sioni kama kuna shida hapo nadhani tungeweza kulaumu endapo wangekosea kuongea kiswahili
au Lugha zao za makabila,acheni kuthamini vya wenzenu na kudharau vya kwenu,mtakuwa watumwa mpaka lini?
Inaumiza sana kuwa na viongozi ambao hawana upeo mpana wa kufikiri,ndio maana wazenji wanapata jeuri ya kuwafanyia wabara mambo mabaya na kuwaona kama hawana haki,lakini wakija huku bara wanajiona wanahaki na kila kitu,wazenji acheni roho mbaya naamini siku wabara wakicharuka sijui itakuwaje?
acheni ushabiki wa vyama,hivi kweli wengine kazi yao iwe ni kujenga nchi na wengine kazi yao kutumia walivyozalisha wenzao bila kutoka jasho, kumbukeni sasa hivi kila mtu amechoshwa na ugumu wa maisha.Lakini msile mkajisahau maana mwisho wake mbaya
Hizo pesa alizoanzisha hayo yote kazitoa wapi kama si kwa kuwanyonya watz,hebu peleka ujinga huo kwa magamba wenzio,tena ilibidi afilisiwe vyote hivyo unavyoviongea hapo maana ni vya wtz.ACHA MCHEZO KWENYE MASLAHI YA WTZ
Saafi sana..............Aibu mtu mzima kuumbuliwa kiasi hicho,halafu inaelekea jamaa ni bonge la gamba.Jamaa amekushauri vizuri anzisheni magamba forum,we si unaumia sana nenda jela kwa niaba yao itasaidia pia
Basi bora anyamaze kwani lazima aongee?halafu akumbuke wale ni wapinzani na sio chama kinachoongoza nchi,sasa watatekeleza ilani yao kivipi?Mbona bado kijana mdogo halafu anamambo kama mtu ambaye amezeeka kiasi kwamba akili zimeanza kuwa kama mtoto.Aangalie kina Zito ikiwezekana akaulize wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.