Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

Discussion in 'Jamii Photos' started by EasyFit, Jan 5, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • aa.jpg
   aa.jpg
   File size:
   178.2 KB
   Views:
   2,343
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama alivyokaa Mkapa au?
   
 3. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kidini zaidi
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kama anasubiri ubwabwa
   
 5. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  hive mavazi ya CCM hadi msibani
   
 6. b

  bakebaga mussa Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani acheni majungu ana uhuru wa kukaa anavyotaka
   
 7. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Anatakiwa aweke unyayo chini na miguu sawa sio anajitanua panua tu..Muangalie Mkapa amekaa kiRais zaidi
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani hivyo alivyokaa amekosa staha gani? Naona anapiga dua hapo, kuna tatizo gani?
   
 9. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo kila kitu kwake ni masihara hapo najua alikuwa anagongagonga magoti wakati wenzie wametulia.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwenye msiba nako mnajadili watu wakaeje! Hatujapata kuwa na Rais anayehudhuria misiba ya watu wake kama huyu baba. Mengine yote msemeni mnavyotaka. Huyu Rais wetu wa sasa anajali sana matatizo ya kijamii ya WATANZANIA wenzake.
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  rudi na cheki ile thread ya mikao ya obama ikulu!
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,379
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Jama vitu vingine ni mambo ya kidini.......yaani nyie kila kitu mnakiangalia kwa jicho la siasa? Badilikeni
   
 13. l

  lakuosha Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :yawn: Wameishiwa hao, pumba tupu. bora ukalale kijana.
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  huu ni umaskini wa hoja,huhitaji elimu ya hadi digrii moja kujua kwamba alieleta hii thred amefilisika kimawazo na anafikiria kutumia meya wa jiji la DSM.Ivi we unafikiri ukiwa rais ndo ukae mguu sawa kila mahali?kwa hiyo unakuwa mtumwa shuna uhuru tena?hebu usitupotezee muda bana tuna mambo mazito ya kitaifa hapa yanatusubiri TUNA DISCUSS ISHU YA HAMAD RASHID KUFUKUZWA UANACHAMA na political future ya nchi ya nchi yetu.
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ndo nyie ukipewa uenyekiti wa kijiji hutaki tena kukaa na watu usikilize matatizo yao,kina obama wapo mitaani wanadunda tu mitaani na washkaji zao we unaangalia mkao,ovyo sana...ndo matatizo ya kutotembea,unaambiwa tembea uone mengi,we upo tu hapo kijijini kwenu tangu umezaliwa umejifunza computer kdg ndo wajiona mjaaaaaanja!badilika wewe.
   
 16. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo kwenye dini ya JK huwa wanatanua miguu wakati wa kusoma dua au?
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Msiba wa kiongozi mkubwa tu. Mwenyekiti wa TAPA, mjumbe wa CC ya CCM. Haujawahi kuhudhuria misiba ya kijeshi?
   
 18. urioglory

  urioglory Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaaaaaaa! naona ujumbe umefika
   
 19. c

  chobo Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwamimi sioni tatizo la ukaaji kwa hapo kwasababu kuu mbili kwanza sehemu usika na yatokeayo kinaweza kua sababu tosha. Kwa halaka ilikua ni kama kunasomeka dua tena bila kuko0sea ni ya kiisilamu there was no way out zaidi ya yeye kufanya ivyo kwasababu mungu ana rais sote ni binadasawa kwake na sote tunapaswa kumueshimu na kumsujudia . Mr pr beni ni utamaduni wa kikristu kuonyesha eshma na unyenyekeve . So ki msingi wote wanafanya kitu sawa na si kosa. Kwa mungu no ubishoo wala kijiona ni kusujudia kwenda mbele . Big up my prsdas
   
 20. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyo ndo yakhe bana
   
Loading...