Ajali, ni ajali kinachoshukuliwa ni walikuwemo katika ajali kutoka salama na hilo ndilo tunaloshukuru.
Lakini katka ajali hii iliyomkuta mbunge wa Viti maalum Catherine magige akiwa na gari la kuazima limekua ni suala lingine na bado anafikiria ni vipi ataimaliza ishu ya kupata ajali aliwa...
Ajali, ni ajali kinachoshukuliwa ni walikuwemo katika ajali kutoka salama na hilo ndilo tunaloshukuru.
Lakini katka ajali hii iliyomkuta mbunge wa Viti maalum Catherine magige pamoja na mwandishi Jamila Omary akiwa na gari la kuazima aliloazima Catherine Magige limekua ni suala lingine huku...
Ajali, ni ajali kinachoshukuliwa ni walikuwemo katika ajali kutoka salama na hilo ndilo tunaloshukuru.
Lakini katka ajali hii iliyomkuta mbunge wa Viti maalum Catherine magige pamoja na mwandishi Jamila Omary akiwa na gari la kuazima aliloazima Catherine Magige limekua ni suala lingine huku...
Kweli bora ujisepeshe tu maana bado una fikra mgando. Unadhani ukiwa jf mda mrefu ndo unakua mjanja?? Unaweza ukawa umeianzisha na ukawa bogaz tu. Lete hoja mama sio majungu.
Ni kweli lakini kwanini Pinda?? Wakati mambo haya kwanza kabisa ni mawaziri ndo walitakiwa kuzuia haya? Mwanasheria mkuu ndio alikua na uwamuzi wa mwisho juu ya hili waziri mkuu angefanya nini juu ya maamuzi aliyotakiwa kutoa mwanasheria mkuu. Hayo maswali unatakiwa uwahoji hawa mawaziri.
Nawewe umetumia fact za kisiasa zaidi au umetumwa na wale wa 2015?? Sisi tunataka ela sio kijiuzuru akina chenge na wenzake hadi wachungaji warudishe pesa kwanza.
Waliokula pesa hawa hapa kwanini tusikomae kuwaomba warudishe pesa yetu na wale ambao hawakutajwa majina???
Pinda anaijua escrow na ndio maana alitaka ufanyike uchunguzi zaidi kwakua yeye asingeweza kwenda kuchinguza peke yake kwakua sio kazi yake kuchunguza.
Yaani wanaacha kuwhukumu wenye hela zetu wanataka kuwahukumu wengine kwa kauli zao.. shida ni hela zetu akina chenge na wenzake bring back our money. Na wemgine wote hapa ishu tunataka hela na si vingine hata mtu akijiuzulu inafaidia ninibkama hajachukua hela ?? Sisi tunataka waliokula hela tu...
Haahahaaaa kweli we ndo umevurugwa kabisa sisi tunajadili ishu ya dunia ya leo ya ki digitali wewe unaturudisha south afrika mlikotokea naona umekumbuka sekondari kama kuna ticha hapa amuinbox material ya histori.
We ulitaka aweke audia hapa ikiwa na picha na jina Lowasa aseme??? sisi tunayaona anayasema wewe hujayaona kua mpole anasema sana na tunajua mengi na hila zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.