natamani kuongozwa na rais muadilifu.
natamani kuongozwa na rais msikivu.
natamani kuongozwa na rais hasienuka rushwa.
natamani kuongozwa na rais anaeifahamu ikulu vizuri.
natamani kuongozwa na rais ambaye leadership graph yake inapanda kila siku.
natamani kuongozwa na rais anaeguswa na matatizo...
Kiongozi wa kweli hawezi kuwa na tabia za kujitangaza kama mfanya biasara,na hiyo ni sifa kubwa sana ya Mizengo Pinda,hufanya vitu kiuzalendo zaidi.
kwa mfano leo hii huwezi kuongelea shule za kata Tanzania bila kumtaja mizengo pinda,Akiwa Waziri wa TAMISEMI ndio kipindi shule za kata...
Mimi nasema anastahili kuwa Rais kwa sababu anazo sifa za kutosha kuwa rais wa Tanzania,wewe unaesema akiwa rais matatizo yetu yataongezeka ndieo unaonekana kutumika na kupangiwa ya kusema.
Hata mtu awe mtendaji kiasi gani kama si muadilifu ni useless kwa taifa letu,Mh Mizengo Pinda anastahili kuwa rais 2015 kwa sababu ni mtendaji mzuri na pia anao mtaji wa UADILIFU,kama tutaamua kuchagua rais na sio wagombea basi mh MIZENGO PINDA ndio rais,ukweli ni kwamba wagombea ni wengi kwa...
kama wewe uliguswa na mauaji ya albino Pinda ni nani hadi hasiguswe? na yeye pia ni binadamu kama walivyo binadamu wengine,aliwahurumia albino ndio maana machozi yalimtoka,na baada ya pale alichukua hatua dhidi ya mauaji yaliokuwa yakiendelea na kufanikiwa kuyadhibiti kwa kiwango kikubwa,hadi...
hilo ndilo tatizo la vijana kama nyinyi kukubali kufungwa mota na wafalme wenu,kuna kosa gani vick kamata kukutana na wajumbe wa ccm? nyinyi kama ni chadema si muendelee na mambo yenu? kwa nini husimtafute vick umpige mkwara unakuja kwenye mitandao
sijaona sababu ya kuwa kibaraka ndani ya nchi yangu mwenyewe,ninachojua mimi nina haki ya kumchagua rais nimtakaye especially mwenye kiwango cha Mizengo Pinda kwa kuwa nalitakia mema taifa langu.
Tatizo kubwa ndugu yangu upo kiushabiki zaidi,mtu ambaye ni waziri mkuu unasemaje hana hata uwezo wa kuwa Mkuu wa mkoa? nakushauri kuwa na mawazo huru na sio kufwata upepo,lete hoja nzito ya kumpinga Pinda labda naweza kukuelewa.
kama tutaamua kwa pamoja kufikiri kwa uhuru kwa pamoja tutakubaliana mwaka 2015 tunahitaji Rais mwenye sifa kubwa ya uadilifu,ni dhahiri kabisa Mizengo Pinda anayo sifa ya uadilifu katika kipindi chake chote cha uongozi serikalini.
Ni lazima tutambue rasilimali kama gesi zilizogunduliwa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.