Imeeleweka apo hakuna doubt but kunamichongo yakidital sasa raia tumezama mazima mfano Betting, spin etc na tunapoteza mda sana kwa Hilo.
Apa wajuzi Mimi naomba kujua kuusu link ya (video earn) link ambayo ukitumiwa we kazi yako ni kuweka bundle na kuangalia video na unapata pesa eti inaukwele...
eeh inaonesha mbegu ya ujamaa bado IPO katika ardhi ya Tza na inataka kuota wakati ambao almost socialist country prove failer with the system na zinazo endeleza socialism zinaendeleza kwa misingi ya capitalist us like China use the technology to exploite our resources kwa mikataba ya kisasa...
sawa sawa anajikuta mjuaji sana uyo afu usikute ndio awo wanao lipiwa ada toka LA vidudu adi chuo. na namwambia me napambana mwenyewe nazitafuta afu najilipia ada asijifananishe na mm uyo mkopo kukosa sio tija ii ni Tza . napambana mwakani najilipia mwenyewe
Nashukuru kulitambua iloo na kulalama inatokea pale disappointment zinakua nyingi natokea local family nilijitaidi kusoma kwa bidii nikiamini kwamba itafika point home wataneemeka ila katika izi movement za masomo nakutana na mambo magumu ni kama aya yalonikata sasa... mkopo sijapata...
sawa unaejua unaonekana upo kuniombea mazuri bila ya ww kujua bush narudi na naenda kulima boom lipo tu ntarikutaa aijalishi LA HESLB au LA mtaa...is better later than never....
Eeeh ni kweli wameto mm inaelekea siitajikii jina langu bado alijaapper na navithibitisho vyote nnavyo vya kupata mkopo. Nimejua hawako na mm niendelee na mixhe zingine tu..xul IPO tu...
Daaa ila wanazingua sana mda tunapoteza kusubili pata potea na hii mikopo inawafaidisha wenye kwao kupo good ila sis choka mbaya inatunyonya tu ela zetu za application
Write your reply...sijajua kwa nini wanafanya iv inafika time nawaza naona bora nihailishe chuo mwaka uu nijipange upya mwakani ...
na kibaya zaidi awatoi tariifa kama wanavyo sema wao na kila nikifuatilia wanasema subiri daa inakua noma sana kwangu...
Message nimepata chuo dar nimetoka mkoa nilitegemea mkopo ntapata ndo niendeshe masomo yangu sababu sina wakunisupport baba asha fariki na wakati wa application niliambatanisha vyeti vyote mapaka sasa sioni ata uafadhali wa chuo sababu sifanya registration ada sina inefanya appeal mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.