Recent content by bajobeghe

  1. B

    Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

    Dogo komaa hakuna kipya University maana utaambulia stress tu baada ya kumaliza. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Business ideas (Bure)

    Jaribu biashara ya mazao kununua mikoani kuja kuuza Dar mfano,mchele, maharage, karanga, nk . Pia mifuko. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    We jamaa unahoja lakin kila dini inamapungufu yake mfano kwenye wakakristo kuna watumishi wapo kweli kweli wanamtumikia Mungu na kuchunga kondoo wa Mungu. Pia kuna ambao ni wapiga deal yaani wanatumia neno la Mungu kujinufaisha vilevile hata ninyi waislamu wapo wapiga deal na halali. Sent...
  4. B

    Tundu Lissu ana kundi kubwa la vijana na wasomi nyuma yake!

    Nashangaa hata ss vijana wengi tunakuwa majuha tuache kuwa washabiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    Tundu Lissu ana kundi kubwa la vijana na wasomi nyuma yake!

    Jamani tusiwe wanafiki kwenye ukwel tuseme ukwel kwenye uongo tupinge kwa nguvu zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Spika Ndugai na Bunge lake hawana taarifa ya kifo cha Ndesamburo?

    Hekima ni kitu cha msingi sana.
  7. B

    Askari wa Bunge wapangiwa vituo vingine vya kazi kwa kusuasua kumnyakua Mnyika

    Siyo vizuri kufanya maamuz ukiwa na hasira esp.kwa kiongoz kama Spika.
Back
Top Bottom