ID yako tu mkuu imenikumbusha far away...... Anyway Dem anajua huyu Kuna ngoma anakua creative kupitiliza tafuta kanyor aleng au Ile inaitwa Satan.....
Ngoja niiskilizee na hii nione maana anaInguaga Sana tu nyimbo zake
Kuna ngoma flani hivi chorus kaimba Jay mo sijakusa inaitwaje nimeisaka sana..... Chorus iko hivi
"Mi nakomaa na Wala sijali vile wazushi wanavoshangaa.... Rijali lazima utoke jasho mi nakomaa nakomaa"
Pia nikipata shega tu ya darkmaster
Ndo Ivo mkuu sisi tukomae tu ... Nimegundua uongozi kww nchi yetu lazima uwe inner circle Yani wanajuaana Sana toka kitambo ndo Mana hata mtu akipiga hela inakua ngumu kutumbuliwa Mana unakuta sijui Ni shemeji au mkwe au mpwa yani wanapeana tu vitengo na wanakutama daily kwenye Bata zao... Sie...
Story ndefu mkuu... Ila inshort sista alikua mgeni mjini mishale Kama sa kumi hivi inaenda kumi namoja Kuna abiria namshusha airport pale Dom achkue flight
ile nimemaliza kulipia kule risiti ya parking niazama kwenye chuma piga stata gia namba Mona mdgo mdgo nakunja Kona pale nielekee getini...
Pombe pombe nshakunywa Sana.... Natimba zangu chako ni chako pub baa ya wapenda fujo af mzee mzima naagiza Smirnoff black ice...
Kumbuka nna hesabu ya siku nzima hapo ila siwazi Wala nn kwanza nna hasira nimesoma Sana af ajira zimenisaliti acha nigonge vyuma ....
Sminoff Kama ya tatu hivi...
Sisi wengine tushazoea mana ugali ugali wetu was Kila siku unapatikana humo ajali tunapata na maisha yanasonga no retreat no surrender afe kipa afe beki lazam tuendeshe tu I'll no risk Sana najiachanga tu ntafte mkwanja nifanye nshu nyingine..... Mungu anatupigania Sana na nyie went magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.