Tukiendekeza siasa Nchi itakuwa maskini. Nikweli siasa ni kitengo ambacho lazima kiwepo lakini watu hatuwezi kubanwa na siasa kila kukicha. Hata kwenye vitabu vya dini tumefindishwa kuhusu nyakati. Kuna siku za kufunga mchana,siku za kula mchana, Saa za kulala, Saa za kuamka,Saa za kusali,Saa za...