Chadema na Mipaka mbona hakuna uhusiano, Vp kuhusu magamba wanaouza migodi na nyara za taifa wkt wanafunzi wanakaa chini tuache masuala ya chama kwenye hoja za msingi
Tatizo sio magazeti kama serikali inavyodhani, tatizo ni uozo serikalini watumie magazeti kujitathmini badala ya kuyafungia na kuyashambulia. Serikali makini inajibu hoja sio kufungia magazeti na kushambulia wapinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.