Recent content by bahatikisiya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Hata mimi nimecheka sana aliposema Magufuli ana jua idadi ya samaki nipo nilipo jua Polepole uwezo wake wa kufikiri hauna tofauti nawale ambao hawajaenda Shule
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Hogera wazee kwani kumkosa Dr Slaa Ukawa ni pigo kubwa sana na tuombe Mungu Habari hizi ziwe za kweli
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Bado wangemwita fisad hiyo isinge epukika
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    kwa hiyo ukitukanwa wewe sahihi akitukanwa nyerere ametukanwa Mungu au!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

    Mbunge kama Kangi Lugola kwa sababu kwa kipindi cha utawala Kikwete alitegemea kupata uwaziri hata kwa kipindi kimpja lankini mambo haya kuwa hivyo kwa hiyo ana tafuta fadhila kwa Eddo ili amkumbuke wakati atakapo ingia katika ufalme.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mrema na Fahmi Dovutwa washambulia UKAWA ITV LIVE

    Ni mweyekiti UPDP
  7. B

    JamiiForums Tanzania Polepole utakuwa umechanganyikiwa

    Kama hawa takiwi kuingilia mambo ya siasa mbona wame pewa nakala za katiba pendekezwa na Nina kuhakikishia kuwa kama viongozi hawa wa dini wange waambia waumni waipigie kura ya ndiyo wagepongezwa na serkali mpaka wange andaliwa hafla ya kuwa pongeza AKILI MUKICHWA
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Wasomii!!!!! Wana njaa hao kwa jinsi inavyooneka inatia shaka kuwa Tz kuna wasomii
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa maeneo ya Magomeni Kagera Ina wapangaji na Ipo katika hali nzuri bei ni milioni 35, Kwa mawasilano piga namba 0764438687
  10. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA waikubali katiba iliyopo kwa asilimia mia

    Katiba ya 1977 ilikuwa na mazuri na mapungufu kadhaa kwa hiyo wewe una taka hii katiba pendekezwa tui kubali tu pamoja na mapungufu yake?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba aanzisha kampeni na siasa chafu

    Katiba hata iwe na mambo mengi mazuri na kukawa na jambo moja tu lisilo faa basi katiba yote hifai kwani ni sawa na tone dogo la mafuta ya taa likiingia katika pipa moja la maji huwezi kutumia yale maji utayapiga maji yote Chini upo hapo Wtz tusidanganywe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

    Kawaulize Tbc kama kuna siku walisha changanya watoa mada siku zote wanatafuta watu ambao hawapo kinyume nasirikali.Halafu ukiona umefungulia ITV Daima ukaona kuna kipindi haki kupedezi wewe nyanyuka mdogomdogo utuachie ITV Yetu usilete uchafu humu Jf ukategemea kuna mjinga mwenzio atakusapot
  13. B

    JamiiForums Tanzania Katiba imekaa vizuri sana

    Vitu kama haki za binadam watoto na makundi mengine maalum tayari ipo kwenye sheria na mikataba ya kimataifa.kwa hiyo sisi wa Tz bado tunasisitiza kkuwa kuna mambo muhim wame yatupa
Back
Top Bottom