Recent content by bahati ndegesela

  1. bahati ndegesela

    To you my love

    consciousness..... (64+56) Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    mtaji ni akili yako Mkuu ,hakuna anaezaliwa nao ila ni uwezo wa ww kubadili mtazamo wako!!
  3. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    2. USIZITUMIKIE PESA(don't work for money). hii ndio siri namba mbili baada ya kuangalia ile namba moja na mkubwa kuliko zote.kunawatu wanaamini kuwa wakijibidisha na kujitesa kwakufanya kazi sana maofisini (kuajiriwa) basi watajipatia utajiri mkubwa kitu ambacho si sahihi badala yake...
  4. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    kuweza kujua siri za ulimwengu wowote ule lazima uwe mmoja wapo,napia uwe umeshawahi kuzitumia au unaendelea kuzitumia makuu Wang........(64+56)
  5. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    utajiri ni uwanda mpana Mkuu ndo maana nikasema usiniamini kwa kile ninacho kisema ila kichukue ukaongezee na ujuzi wako huenda tukapata kitu kizuri zaidi tuweze kusonga mbele.
  6. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    it's just a way of making a large gap of distinction between Rich people and the poor one. the rich use it so that they accumulate more customers for their product they produce in their investments.kwahiyo ukiufuata huo mtazamo utabakia kuwa umefumbwa macho na utakufa ukiwa kama ulivozaliwa!!
  7. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    si kweri!!!jamani tuwapotoshe watu jamani wakaenda kuzitumia alafu zikawaghalimu maisha yao bure adhabu tutaipata kwani huwa sio vizuri kuipotosha jamii katika mambo kama haya!!
  8. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    nikweri hawezi kukupa ndo maana kuna watu wanafanya kazi mchana na usiku je kama ni kujituma kwanini wasiweze kuwa matajiri hawa watu!? lakini kuna siri ambazo Mimi nimezipata nitadondosha moja baada ya nyingine we endelea kuwa namimi hatua hadi hatua hakika kama utazitumia zitakutoa we nifate Mimi!
  9. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    hizi sizo ndizo kwani ulizo zitaja zote nahisi ni mambo ambayo yanafanywa na watu kinyume na sheria za nchi kwa kutumia nguvu au nyadhifa walizonazo vibaya. lakini tunaposema mtu frani ni tajiri cha kwanza tunaangalia utambulisho wake katika ulimwengu wa biashara na je amekuwa mbunifu? na...
  10. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    haina haja ya kwenda huko kwani nchi yetu imejitosheleza kwa kila namna!!
  11. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    huwezi kutoa kitu ambacho hujakipitia wewe mwenyewe natoa kitu ambacho Mimi mwenyewe nimepitia jaman!!
  12. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    OK ipitie mkuu hyo ya kwanza alafu unipe feedback je inaweza kukupatia mamilion ya shillings!!?
  13. bahati ndegesela

    Siri za utajiri (secrets of the rich)

    hakika hizi ndizo siri za utajiri matajiri wamekuwa wakizificha toka mda mrefu ambapo Mimi toka nikiwa na miaka Tisa(9)nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana na kujiuliza maswali mengi kuwa kwanini duniani watu wote si matajiri? kwanini watu wote duniani si masikini? basi kutokana na maswali yote...
Back
Top Bottom