Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa.
Habarini wana jf humu ndani,jamani ningeomba msaada kwa anayejua njia rahic ya kupata hicho kitambulisho maana Nina shida natakiwa niende nchi flan na uhamiaji wameniambia siez pata passport mpaka hicho kitambulisho nimehangaika huko nida lakini mpaka sasa nikupigwatuu tarehe,nisaidieni kwa...
Jamani mwenzeni nimechoka bongo joto Kali hivyo natamani sana ningepata kazi hata za ndani nnje ya nchi ila zisiwe yuu nchi za kiarabu,anayeweza kuniunganisha msaada pls,pia iwe uhakika nikazi za ndani sio kupelekwa huko na kuuzwa kufanyishwa biashara za haramu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.