Mwalimu jitahidi kupoga hoja kila wazo weka kwenye aya ya peke yake .
Hujafafanua yafuatayo juu ya madai yako;
1; Allowance unafaa kilipwa kiasi gani?
2: Ngazi ya kiwanga cha mshara wako na malipo hayo yalifanyika vip ( bank au cash)
3: Je , kiongozi umejaribu kuwasiliana nae- mwl mkuu ...
Umenikumbusha jinga moja ivi tupo kitaa kimoja , lilpata shinda ma mwelela wakalidaka - kesi uhujumu uchumi (nyara)
Hunyu pimbii nilipigania kila siku naenda kuliona lockup màana lilikaa siku 14 , mahakamani sasa linataka tukalizamini tena kwa kuweka nyumba ya familia .
Si muda nikakutwa na...
Wapo wanao enjoy kuwa kwenye ndoa , wengine wanateseka .
Wapo kwenye ndoa wanatamani kutoka - hawapo kwenye ndoa wanatamani kuingia .
Wate wako sahisi - Choose any side
Dini , ni utapeli sana , tunaambiwa Mungu ni mwenye huruma na Shetani ni katili. Maandiko ( sijui ni mhuni gani aliandika - nao ni utapeli) , hayayaonyeshi balance ubaya wa Shetani na ubora wa Mungu.
Mungu aliteketeza watu kwa moto , kwa mafuliko pia . Wakidawa kuwa na dhambi / waovu.
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.