Recent content by baguma 1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani CCM Wachapana Ngumi Kikaoni

    na bado muda wana ccm watapigana sana kwa mtindo huu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    mh.jakaya mrisho kikwete chonde chonde naomba uusome huu waraka wa lema kwa manufa ya watanzania wote mungu ibariki afrika mungu ibariki tanzania
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo apata Mwana CCM mwingine

    kamanda mawazo nakwamia kweli wewe ni kamanda wa kweli bila utani wapelekeshe hao magamba mpaka wote wahamie chadema
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, TBC hawaruhusiwi kusoma habari za CHADEMA?

    kutosoma habari za wapinzani wakati unalipwa mshahara na kodi yetu ni kosa la jinai
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    unaona watanzania ubinafsi umewajaa mpaka wahadhiri wanakwenda nje na kupewa kazi nzuri na kuukana uraia wake kwa sababu ya maisha magumu kwa kila mtanzania
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA yafilisika Kisera

    hivi wewe nape huwezi kulala bila kuisakama chadema hao ndiyo watarajiwa wa kuchukua nchi mwaka 2015
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA yafilisika Kisera

    kweli huyu jamaa hayuko sawa sawa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    wewe ndio hujui kabisa kaa kimya
Back
Top Bottom