Mkuu lakini walishatuumiza!
View attachment 85079View attachment 85080
cc; JULIANA WAKUFYOZWA, MTELA MWAMACOTTON, NEPI MWANDOSYA, LAMERK MADELLU (aka ya mwizi wa jina, Mwigulu mchemba), rejao, ritz, na woote lumumbaView attachment 85082
View attachment 85079View attachment 85080
cc; JULIANA WAKUFYOZWA, MTELA MWAMACOTTON, NEPI MWANDOSYA, LAMERK MADELLU (aka ya mwizi wa jina, Mwigulu mchemba), rejao, ritz, na woote lumumbaView attachment 85082
Tendwa vp upo hapo.
Ni kawaida kwa sisiemu kuzichapa kavukavu, sio mara ya kwanza. In case mmesahau, nawakumbusha hizi:-
- Shyrose Bhanji hivi majuzi alikwidana shati na kutaka kuzichapa na mashabiki wa Sofia Simba pale Shyrose alipokuwa anabishana nao kuhusu kukithiri kwa rushwa kwenye chaguzi zao UWT
- Sophia Simba alizichapa kavukavu na Halima Mamuya pale walipokuw wameshindwa kuelewana kwenye mikutano yao ya ndani.n
- Florence Kyendesya, mjumbe wa zamani wa UWT Mbeya alikwidana mashati na wenzake mkutanoni baada ya kushindwa kuelewana, mwishowe akavua nguo ya ndani na kumrushia mgomvi mwenzake, ili kumaliza hasira
- Hizo picha hapo juu ni ushahidi tosha kwamba mambo si mambo huko ndani kwao!
pia maandiko yanasema utawala unaojipinga kamwe hauwezi kusitirika(kudumu) utaanguka tu'.......sisi tupo waking'oana meno ......hatuna la kusema maana wajawazito wanaopoteza maisha kila siku kwa huduma duni wao hawaguswi....go on tungepata taarifa ya mazishi tungehudhuria mura!Waacheni wafu wawazike wafu wenzao.