Recent content by BAGAMIKA

  1. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kimya mkuu, tunasubiri mwendelezo wa part II
  2. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER, TAFADHALI SANA CHUKUWA HAYA MAANDISHI, PRINT NA UYAWEKE KWENYE LAMINATION ILI UWE UNAKUMBUKA KLA SIKU. HUU NDIO UKWELI AMBAO HAUNA CHENGA YA UNAFKI. KUMBUKA MAMA J ALIONDOKA KWA SABABU YA MSG ZA PRISCA, IMAGINE AKISIKIA UNA MTOTO TENA UMEZAA NA IRYN.
  3. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    KUMUWEKA MTOTO MBALI NA FAMILIA PIA NI JAMBO BAYA SANA. anaweza hold on kumueleza ukwelI Mama Jr kwa sasa hilo nakubaliana bnalo 100% ila angalau familia wajue kuwa kuna damu yao.
  4. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    There should next episode of Mew Born please
  5. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Iriny anenda SA. Insider Anaachishwa kazi na kuendelea na mipango yake ya kwenda kuongeza elimu
  6. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Siku zote kichwa kidogo hakipaswi kupewa nafasi ya kufanya maamuzi kwa niaba ya kichwa kikubwa. 😂😂.
  7. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER, lete Episode nyingine. Kila wakati tunachungulia kwneye huu uzi kujua kama kuna jipya.
  8. B

    Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

    hapana hatuumwi ila tunauguza wagonjwa kama wewe
  9. B

    Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    kwanza baba yako ni muuwaji. inaonekana na wewe huna kili kama baba yako. kwahiyo hapo umejibu hoja ya Bandari ? huu sasa ndio ujinga wa kujitakia. Kama alishindwa kesi haimaanishi kuwa anachosema ni uongo. Madeni yake yake sisi hayatuhusu kabisa. watU wengi mmejaa uchawa kiasi cha kuwa vipofu...
  10. B

    CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

    hakuna ubaguzi wala hate speech, odoeni mkataba huu wa kipuuzi muone kama watu wataongea hayo mnayosema ni ubaguzi. Inakuwaje Tanganyika ndio wanaopenda sana MAENEDELEO kuliko Zanazibar? mzanzibar anauza Tanganyika ukiuloiza unaitwa mbaguzi. jifunzeni kuwa na vichwa vyenye Uwezo wa kusikiliza...
  11. B

    Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    wapi kwenye mkataba pameandikwa kuwa bandari imekodishwa? hii imeuzwa kabisa maana tunaona mwanzo tu ila hakuna pahala popote imeandikwa kuwa itakuwa mwisho.
Back
Top Bottom