Recent content by Bado Tunaishi

  1. Bado Tunaishi

    JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Tukiweza kuacha kulaumu wengine na kuanza kujilaumu wenyewe tutafika mbali sana
  2. Bado Tunaishi

    JamiiForums Tanzania Who is Steve Nyerere? Anatuwakilisha sisi wajinga wa nchi hii

    Tz tunasupport zaidi ujinga
  3. Bado Tunaishi

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na haya mawasiliano ya wife na karani mwenzie wa sensa

    Ukitaka kuishi kwa amani basi usipende kuwa na hisia negative, kama huwezi basi usiwe unamchunguza mwenzako, moyo wako utakua na amani sana
  4. Bado Tunaishi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

    ngoja na mimi nikajaribu nimeshaandaa 250k ya kulipa mahakamani:cool:
  5. Bado Tunaishi

    JamiiForums Tanzania Somo kuhusu nyoka

    mpaka mwili umesisimka, mimi hata kumgusa nyoka siwezi hata kama nimeshamuua
Back
Top Bottom