Recent content by badman prezoo

  1. badman prezoo

    Kwa leo chukua hii itakusaidia

    duuuh[emoji848][emoji848]
  2. badman prezoo

    SoC02 Majuto ya wahitimu wa vyuo

    [emoji848][emoji848] made me think twice..[emoji110]
  3. badman prezoo

    Nawezaje pata nguo za jumla?

    Namna ganii naweza kupata mzigoo wa jumla wa nguoo ili kwa ajili ya kuanza biashara..
  4. badman prezoo

    Naomba kujuzwa bei ya PC aina ya Lenovo au Dell

    ni used sema zimetumika uko njee
  5. badman prezoo

    Naomba kujuzwa bei ya PC aina ya Lenovo au Dell

    pc sana sana una angalia specification ilizo nazo, generation. kwa beii hapo kwa dukani kama andaa kuanzia 400k au zaidi. Nyingi uwa zinakuwa refribushed pia usisahau kuangali processor ake apo sas utaangalia unataka prossessor ipi..
  6. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    [emoji16][emoji16] ni kwelii sema hii ni risk sana....
  7. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    biashara uwa kweli ni ww mwenyew na akili yako. mm idea zilikuwa nyingi sema zote naona zinanipunguzia muda wa masomo nikaona isiwe mbaya kuuliza uku jf idea ambazo unaweza ukafanya uku unaendelea na kusoma. ubarikiwe [emoji120]foxy.
  8. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    aah shukrani sana ngoja nianze kupost viatu maan kuna kuna jamaa ana duka la viatu alafu sikuwahii kupata wazo kama iloo shukranii [emoji120] ubarikiwee mjomba..
  9. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    hiii ni wazo zurii sema nataka nifanye uku naendelea na shulee
  10. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    sitegemeii kupata 30k ili mradi 2 napata hela ya mahitaji madogo ya kila siku kama kula na vingine vidogo 2 .. 30k najua itakuja badaee
  11. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    masihara kivip tenaa[emoji848][emoji848]
  12. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    idea moja ya biashara apo ni kama ipii.. tujuzanee apo kidogoo..
  13. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    ww ulikuwa unachukulia sehem gani (jina ) ili 2ende tukajarib bahat yetu
  14. badman prezoo

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1

    Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1 na uku bado unasoma. Dah na kama upo ni biashara gani maana maisha ya kuwa tegemezi some time yanachosha. kama inawezekana ushauri wako plz na idea ili tuongeze uwezo wakufikiri kutafuta pesa na tuweze kuwekeza.. tujikwamua kwenye tegemezii...
Back
Top Bottom