Recent content by BADILI TABIA

  1. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimemsahau. Nilikuwa nikimpigia au kum-SMS mara 10 kwa wiki, nimetulia

    sasa mwenzio ataliwazwa na nani?
  2. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

    na wazazi wenu wameridhia kabisa...............
  3. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

    39 ana u-sugarmami gani tena?
  4. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

    Ndio ujitulize sasa.....
  5. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Tulia na Mkeo Uzinzi gharama
  6. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

    Hii ni kweli kabisa Halafu wanaona kama.ni haki yao kuwapa fedha ya kujikimu
  7. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

    Ndugu wa mume Mshaanza kutupia lawama mkewe......
  8. BADILI TABIA

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Kuna binadamu mna roho ngumu!!!!
  9. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika ndoa, nani anatakiwa kuanza kumsalimia mwezie kati ya mume au mke?

    Yaani mkeo hajaitika salamu mwanaume mzima unaenda kumsimulia mzazi wako??????? Mwambie hapo hana mume ana ushumbwanda tu Halafu hakuwepo kwenye kikao kilichopita cha wanawake? Si makubaliano yalikuwa marufuku kuwa na mwanaume mmoja? Ona sasa......
  10. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Sasa kinachokufanya usiamini wanawake ni nini? Kwani mlikubaliana wewe ndio.mwanaume wake.pekee? Au mlikubaliana kuwa ukimnunulia simu wanaume.wengine hawawezi kumpigia? Hiyo ni changamoto ndogo sana ya mapenzi, fanya ni hasara kama hasara nyingine
  11. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

    Mganga wa nini Ina maana miaka yote 5 hatongozwi Muda huu alitakiwa awe na mwanaume wa ukweli alomzidi mumewe hadi dhambi Mwanamke u akuwaje na mwanaume mmoja? Baba yako huyo? Matokeo akiwa na mchepuko sugu unabaki kuwa single in marriage Mwambie apoe mwanaume mwenginr...mwenye hela na...
  12. BADILI TABIA

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Hatuachi
  13. BADILI TABIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Vicoba Fb whatsapp group Outings za maana sio uswazini Seminars n meetings Ofsn M
  14. BADILI TABIA

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

    Acha bana Mwenzio anataka nandy aende ikulu na nguo ya harusi
Back
Top Bottom