Recent content by BACKWARD

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Mtoa mada unalolisema ni sahihi kabisa, Lakini kama ushauri ukiwa kama na utaalamu huo wa kung'amua hayo mapungufu usingeyaweka hapa japo unge communicate nao wakajua kinachoendelea na mapungufu yao kama sehemu ya kuunga juhudi zao nzuri. hata mimi nimeona its possible and very possible. Poor...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

    Vilikuwa Vitabu vizuri sana. Alafu kulikuwa na kingine mwandishi wake nakumbuka ni MKENYA kinaitwa "My Life in Crime" Bonge la story.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

    Kama Vipi Nitupie huo Mzigo alafu uone jinsi ntakavyouacha kwenye mataaa....... DUh! Pole sana Kaka, Komaa, Mwambie waifu ulipitiwa, kiri na utubu kisha mtoe wife mpeleke mbali kidogo na mazingira ya home hata kwa siku mbili au tatu and while you are there repent, Mwambie muanze ukurasa mpya na...
Back
Top Bottom