Pole kwa changamoto, usimhukumu pengine tu anajihusisha na marafiki wa ovyo na hulka yake ni yeye pia kuchangia mada zisizo na maadili kwa wanandoa..Nashauri omba kibali kwa Mungu akupe hekima ya kuzungumza nae maana unaweza anzisha kesi ya meseji. Ongea nae kwa hekima how this has made you...
sio mtoto wangu wa kwanza so this is my first experience, hayo yote yanafanyika au unataka hadi usingizini awe na toy!!?pacifier tushachelewa naona haitaki...
Wana JF,
Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...
Sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje...
Mawazo mtambuka yanaruhusiwa...sidhani kama kaleta mada ili umtukane mwenza wake afterall hajalalamikia uzinzi, jitahidi kujenga hoja bila kuwa na mihemko..
umeongea vema, jitenge kwa muda ukifanya IBADA..Kumbuka an idle mind is the workshop of devil...Mtafute Mungu akuongoze hatua zako yaani utarudi kwa kishindo.Hata kama kuna muda utaona inachelewaila amini inakuja na itatokea na utakuja kutushuhudia...Mungu akufanyie wepesi ndugu
hekima tu itumike! atafute pa kuanzia, tafuta story ya facebook huko ajifanye kama anataka kusikia opinion yake, then anamchombezea na jambo lake kwa HEKIMA...kuna kitabu kinahusu love languages, anaweza kukitumia kumvuta mtoto wa mamamkwe, wakae wakisome au msimulie afu waulizane ni jambo gani...
Pole kwa changamoto
Kwani mna umri gani?maana i can tell dada maturity bado..afterall wanawake hawajuagi nini wanataka so mwanaume ukisimama vizuri utamsaidia kujitambua.Hebu mkae muongee na wewe ujue nini unataka kwa mke
Pongezi sana kwa kuwa mume na baba bora wala usijione umeanguka bali umeteleza.Ndoa ni watu wawili kama mlivyokaa mkayajenga mkope mfungue biashara, mkoe mjenge nashauri rudini palepale..ndoa ni mawasiliano ndio KUHUSIANA kwenyewe...angalia pale ambapo mlikuwa mnafanya awali kwa sasa...
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo.
Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika...
Malezi malezi malezi, tuwajibike kwa nafasi zetu kuepuke kizazi cha hivi....pengine wazazi / walezi waliteleza ila tuna nafasi ya kutengeneza kwenye kizazi gen Alpha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.