Recent content by bacelona

  1. B

    JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini Magari ya M4C yanalala na kushinda Machame-Protea Hotel??

    Wana hofu na hawa watu....
  2. B

    JamiiForums Tanzania RFA na Utabiri wa mrithi wa Sheikh Yahya kuhusu CCM

    Huyu Hassan ni tapeli tu la Kinondoni....ila swali hivi cheo cha utabiri huwa kinaridhishwa ?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

    Chadema ni treni inayoelekea Kigoma , wapo watakaoshuka njiani na wengine watapanda, wenye lengo la kufika Kigoma wanaendelea na safari......
  4. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yaongozwa na Mstaafu

    Mkandara, anadhalilisha wasomi na usomi, inakuwaje awe anafundisha wanafunzi kuhusu utawala wakati yeye anataka kutawala kinyume cha sheria ? Kwa umri na kuheshimiwa sheria , he has to go...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nape: siasa haikua chaguo langu.

    Rubani anayekula kiasi hiki si atasinzia na ndege kuanguka?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa Zitto na timu yake....Mkakati wao wavujishwa ....Maria Kikaangoni....

    I'm just informing the general public .....ndio maana hakuna aliyejipambanua kupinga kwani wanajua ukweli huu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa Zitto na timu yake....Mkakati wao wavujishwa ....Maria Kikaangoni....

    Kazi unayo,mwaka wa she tani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa Zitto na timu yake....Mkakati wao wavujishwa ....Maria Kikaangoni....

    Walau wewe unajua kinachoendelea, Maria Sarungi ndio amepewa jukumu, unafikiri kwenye siasa kuna permanent enemies? Kama alifukuzwa 2010 itakuwa ni timu ya kampeni ambao ilikuwa chini ya Baregu na Kitila Mkumbo.....au hujui wao ndio waliachwa chama?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa Zitto na timu yake....Mkakati wao wavujishwa ....Maria Kikaangoni....

    Katika hali ya kutafuta jinsi ya kuweza ama kuibomoa ama kutaka kuonyesha kuwa Ana nguvu ndani ya Chadema na haswa kwenye baraza kuu , mambo yafuatayo yameandaliwa na team Zitto kwa kuratibiwa kwa ukatibu sana na watu wa idara kama ifuatavyo; 1. Ni kuwa leo Kigoma , aliyopewa jukumu la kuratibu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    siku hizi ndio mtindo , umesahau ya you tube na Lwakatare?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    shida mnahukumu mleta habari badala ya kuihukumu habari yenyewe.........huu ni mchezo wa kuwakamata vijana wa Chadema waliowarekodi wakina Sinbard Mwanga katika harakati za kutunga ushahidi kesi ya Lwakatare , wait you shall see....
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    lengo la stori hii ni kumkamata Sabula Hemed ambaye aliwarekodi wakina Mwanga hoteli ya Sea Cliff .....jikumbusheni tamko la bobezi Marando ....over
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    mimi sio Chadema , nimewaeleza mpango uliopo ili wachukue hatua , kama hamtaki subirini kesho mtayaona ,
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania la leo kuhusumajambazi kumvamia Mama Shida Salum na maelezo yake ambayo ameyatoa ni kamaifuatavyo; i. Lengo kuu ni kuwa Polisi watamkamata Hemed Sabula, ambaye CHADEMA walimtumia kumrekodi Afisa usalama wa Taifa ambaye...
Back
Top Bottom