Recent content by Bacary Salama

  1. Bacary Salama

    Nape kama vile anazungumzia ya Kibiti akihusisha na uonevu mwisho ni kisasi na mauti

    Wewe ndo mnafiki nape alikua anatweet mda mrefu tu kipindi kile cha madawa ya kulevya na mengne tu .
  2. Bacary Salama

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Kwa sababu umepewa nafac ya kuchapisha bhac unachapisha tu uzee huo
  3. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwambie hatutaki link za magroup huku kama una mkeka tupia tuchague chache twende mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cc ernest muuza tips whatsup group kaamia mpaka telegram sasa hv
  4. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huo una timu 18 wa jana tu umewoon zote na namba yangu ya simu ipo hapo juu ili uamini kama ni wangu sio kama wewe unayeweka mikeka ya walioshinda laki 8 then unasema yako utuonyeshe hapa namba yako ya simu kwamba mkeka ulioshinda kama ni wako .. Nahtaji mkeka wako timu 10 wa jana ulioshinda...
  6. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We tapeli subiri nilete ushaid wa picha na kila k2 juu ya utapeli wako kwenye group lako ulivyotuchangisha pesa kwamba tips zmekupa pesa ya kunywa supu na shem we2 TULIA HAPO HAPO ONLNE TULETE USHAIDI NA WENGNE WATOE WA KWAO
  7. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usikwepe mada acha kuwatapel watu unauzaje tips kama ww ndo unachez mpira tumejifunza kwako umetuingiza mjini muhindi mwngne
  8. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usituletee link ya magroup huku kama kuchat au kuweka tips usiuze
  9. Bacary Salama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Eti hizi tips kwenye group lake anauza anawadangany kwamba kanunua $15 baad ya watu kumjua akabidi avunje group kwa aibu
Back
Top Bottom