Recent content by Babycute

  1. B

    JamiiForums Tanzania Simwelewi mpenzi wangu

    Asanteni kwa ushauri...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Simwelewi mpenzi wangu

    Habarini wana JamiiForums. Nina mpenzi ambae mwanzoni tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea. Hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba nikimtumia sms hajibu,anakaa kimya,nikimpigia anasema yupo bize au amelala amechoka.nikimuuliza sababu ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jina unalompa mwanao lina maana gani?

    Ni kwel majina mengine hayafai,majina kama chausiku,tabu,shida,masumbuko,sikujua,sikudhani..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mchumba kanipiga mbata wapendwa

    Jaman nimecheka sana had mbavu zinauma....mbata ni hatari
  5. B

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujumuike wapendwa.

    asante
  6. B

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujumuike wapendwa.

    kadi miguu yako 2,njoo A twn
  7. B

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujumuike wapendwa.

    arusha moja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujumuike wapendwa.

    Wapendwa wana mmu,nachukua fursa hii kuwaalika kusherehekea sikukuu hii ya eid el fitri.karibuni sanaaaaaaaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kweli hii kali nimeishuhudia mwenyewe

    Una ucngz,kalale tu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nani kiranja wa hili jumba?

    Kufuta madirisha ya jumba msinisahau pliz..teh teh
  11. B

    JamiiForums Tanzania mara moja inatosha

    Mmh!mara moja tu?ndo nn sasa bora usimwambie
  12. B

    JamiiForums Tanzania Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

    hata hvyo mwanamke anapaswa kujifunika wakat ananyonyesha kuficha nyonyo lisionekane kwan haifai kujiachia ovyo ovyo watu wayaone matiti
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamewazidi wanaume kwa mambo haya?

    Wana chupi nying kuliko wanaume
Back
Top Bottom