Mi kwa mtazamo wangu wote wawili kwanza mpendane wote, upendo uwe pande zote kwani utaishije na mtu usiyempenda,mwanamke ampende mwanaume pia kwa kwa mwanaume vise versa, halafu kuheshimiana ni kwa wote, kuvumiliana, kuaminiana ni kwa wote pia. kila kitu kiwe balance hapo ndoa itakuwa salama.