Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

...nakubaliana nawe mapenzi haihusiani na elimu wala kipato, lakini Ndoa inahusiana na hayo!

unless mmejiamulia kuoana wenyewe, lakini unapokwenda kuchumbia si ajabu mshenga kuulizwa;

-kabila lake

-ukoo wake

-elimu/kazi yake

-makaazi yake

-nk

sidhani kama posa itakubaliwa kirahisi iwapo mume atajulikana ni jobless fulani ambaye hakuona umuhimu wa madarasa ya msingi wala sekondari.

.. Yeah you are rite!

I remember once giving mtu wangu atm cards zangu zote just to make him happy na asijisikie vibaya yet haikusaidia he just felt kama unamuinsult (ingawa hakurudisha and he used mwisho wa mwezi tu ukigonga anazikomba zote then GOD knows anazitumiaje unabakia kuduwaa!? na bado masimango, dharau and you name it havikukoma...........
 
Mungu wangu, sikujua nitatonesha kidonda. Mwj'1 hebu take it easy mamie jamani ....wuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Hakuna ukweli hapo! Nijuavyo na kuamini mimi wanawake wasomi na wenye kipato huwa na mapenzi ya kweli na hujali sana ndoa zao, labda itokee mume awe bazazi, ndiyo sababu ya wadada hawa sababu wako independent huamua ku move on, Angalia Asha-Rose Migiro anatesa na ndoa yake, hajaota wala mapembe!

Ahsante sana Mkuu kwa maneno yako yaliyojaa hekima na busara tele. Nawafahamu wanawake wengi wa Kitanzania wasomi ambao wanajitahidi kwa kila hali kuziboresha na kuzidumisha ndoa zao kila kukicha. Msiogope kuoa wasomi lakini pia muachane na wivu wa mwaka 47 ambao hauzisadii ndoa zenu.
 
Mungu wangu, sikujua nitatonesha kidonda. Mwj'1 hebu take it easy mamie jamani ....wuuuuuuuuuuuuuuuu!

No no no Mbu its not kwamba unatonesha kidonda no mbona ni ya kawaida tu hayo ? ni katika kueleweshana ili watu tuelewa what we sometimes do in the name of this thing called LOVE. That there is no guarantee kuwa ujkimfanyia mwenzio hivi kama hakuna mapenzi ya kweli itawork.

Cha msingi ni kuwa makini tusiruhusu love itublind yaani ukishagundua some signs za kuwa hapo si pako basi tutake initiatives kuanza mbele kuliko kung'ang'ania at the end tunakuja kukosa yote!
 
Shida zingine dada MwanajamiiOne (with assumption wewe ni wa jinsia ya kike) mnazitafuta wenyewe, wewe na PhD yako ukaolewe na Kijana wa Darasa la saba, ama mwal wa shule ya msingi, unatarajia nini? Tutafute wenzako wa kuongea lugha moja!
 
....... Hee! matters of the heart my dia brother!

Ila thanx ni ushauri mzuri especially kwa wale watarajiwa.
 
Hizi society zetu zinachangia pakubwa tu katika kum-stereotype mwanamke haswa aliyesoma, mwenye kazi na mapato mazuri.. mie i have been a victim of mama mkwe mtarajiwa kuuliza kama huyo mwenye PhD utamuweza???? sasa hata kama mie sina neno mambo yenyewe ndiyo hayo hata familia inakuwa macho wazi..u are constantly being watchd waone kama una zile 'tabia' za wanawake waliosoma!!! we need to change some of these mindsets!

ah! ningekuwa mwnamume i would love to have an independent intelligent woman as a partner and wife!!!!

Habari yako Daktari!

Hapo nilipoundeline, u a rite in my shoes...u know what...wanaume tuwe tunawa encourage wake/penzi wetu wasome hadi mwisho kwa kuwasupport kwa kila hali. This way, hata akifanikiwa anajua ni mafanikio yenu wote na sio mmoja mmoja!
 
Eti eh!!! daktari wako hajambo aahahhaha.kweli kabisa mafanikio ya mkeo yatakuwa ni mafanikio ya familia yenu ..sasa sijui wanaume kwa nini huwa mnasahau.....wachache sana watakusupport kusoma na kujiendeleza in your career. kuna mama kazini anaacha kazi kisa na maana mumewe kasema eti hawezi kukubali hizo safari zake zishakuwa nyingi...sasa mama imembidi aresign kwa sababu kazi yake inahusu kusafiri sana... huko ndiko kuolewa kwenyewe??? na kukae basi!grrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Thank you. usikate tamaa mapema, na hujaingia huko bado!
 
Kwa mtazamo wangu suala la kudumu katika ndoa ni la wanandoa wote wawili..si suala la usomi wa mwanamke au mwanaume hapo....mwanamke anaweza kuwa msomi mzuri na ni mchakarikaji katika utafutaji maisha mazuri kwa familia yake..anaisaidia familia kwa hali mali..akaja katishwa tamaa na mume ambaye ana mtazamo potofu na kujiona duni kama anasaidiwa na kuendekeza mfumo dume kwamba wanaume pekee ndo wanaoweza na kubeza jitihada za mkewe..hali hii inaweza kumkatisha tamaa mwanamke katika jitihada zake na sometimes ndoa hiyo yaweza vunjika kama karaha zinazidi na kudidimizwa kukizidi. Nina mfano halisi wa hali hii ambapo baba si mchakarikaji sana yeye anategemea kusaidiwa na nduguze wakati mama ni fighter na mshauri mzuri kwa mumewe kwamba kwa umoja wanaweza kufanikiwa..lkn kwa ajili ya ukandamizaji na kukatisha tamaa..familia hiyo haipo pamoja kwa sasa.
 
RED: Umesema vema baby!
BLUE: Yet wengi wao unakuta hata yale majukumu ya nyumbani ni ngumu kuyatimiza -hata kama anazo pesa za kutosha
PURPLE: Masikini pole sana Baby but huu ni ushahidi tosha kuwa umefika wakati kina baba ambao hawatambui juhudi za wake zao katika maisha yao wafanye hivyo.

Mimi huwa nasema kuwa ni kweli kuwa when a woman is fed up................ huwezimrudisha nyuma. Na mbaya zaidi akiwa na elimu yake na kazi yake akiamini kuwa anaouwezo wa kuitunza familia mwenyewe. itafika tu mahali she wont take it anymore so ndo anaanza mbele na hapo kashfa za usomi, kipato zinatokea ila tu people dont know what goes on behing that decision.
 
Dhana na hiyo kwa sehemu kubwa ni perception ya watu tu na si uhalisia. Mara nyingi kama mwanake msomi (au mwenye kipato kikubwa) ameolewa na mwanaume aisiyesoma (au mwenye kipato duni), inferiority complex ya mwanaume inachangia kwa kiasi kikubwa kuleta matatizo kwenye ndoa. Pia tofauti ya mitazamo inaweza kuleta matatizo baina ya wasomi na wasiosoma kama wanandoa hawapo makini (na hili si kwa mwanamke tu hata mwanaume pia)
Kwa sehemu kubwa kinacholeta matatizo ni tabia ya mwanamke zaidi kuliko elimu au kipato chake. Nafahamu kuna wanawake wengine hawana elimu wala kipato kikubwa lakini wanakuwa na 'nyodo' kwelikweli kwenye ndoa.).

Maneno murua kabisa

Hakuna ukweli hapo! Nijuavyo na kuamini mimi wanawake wasomi na wenye kipato huwa na mapenzi ya kweli na hujali sana ndoa zao, labda itokee mume awe bazazi, ndiyo sababu ya wadada hawa sababu wako independent huamua ku move on, Angalia Asha-Rose Migiro anatesa na ndoa yake, hajaota wala mapembe!

Una uhakika mwenzangu? siri ya chungu aijuaye kata.....
 
graduate.jpg

Hivi kwanini wanawake wengi waliosoma ni wasumbufu katika ndoa. Wakisha olewa nao wanakuwa kama wanaume!!! Tabutupu hii!!!!
 
Women have been empowered these days. Our men ego should shift otherwise we would think the women we have are no wives material. The problem could not be women... the problem might be how men think about women. Just note that gone are days when women were just for cooking and raising kids.
Now days they can as well finance our household budgets.
 
Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
 
Back
Top Bottom