Recent content by babyc

  1. B

    Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

    Kwenye roli wanapanda watu na wataichsgua ccm
  2. B

    CCM yamewashinda eti Magufuli atafanya kampeni kwa gari

    Speak with evidence sio blabla
  3. B

    Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

    Asumpta mshama Yuki na mgombea mwenza na wengine wore kwenye timu ya 32 wapo kwenye kanda ndio maana kila kanda anayopita maghufuli na Samoa wanakutana na time mpya ya ushindi iliyokuwa kazini kabla hajaja.ushindi ni MIPANGO usiwadanganye watu utachelewa .fuatilia ujue campaign timu Ilivyo...
  4. B

    Udikteta Wa Magufuli uko hata kwenye kauli

    Haupendi ukweli unataka kudanganywa na kupepewa haipo hiyo kama tunataka kutajirika
  5. B

    Magufuli ni mgombea binafsi? Hataki kuhusishwa na CCM

    Acheni kujidanganya mnafahamu niwatu wangapi wanatumia hii social network.kwingine hats hawaielewi tusiwe wavivu kufikiri jiulize watu wako wakaribu ikiwemo ndugu zako in wangapi wanatumia hizi jf fb na tweeter then statistics zako zianzie hapo kupima upepo.Niushauri tu
  6. B

    Babu Duni: Kikwete anachekacheka, Magufuli anashangaa

    Do!!!kaenda link tens kanda ya ziwa?
  7. B

    CCM fungueni macho

    Were ushawahi kulipwa au ndo walewale
  8. B

    Mfanyakazi, utaweza kumudu gharama za maisha kwa mshahara huu?

    Hujui unalo ongea usipotoshe uma hakunaga ulichokiandika no ushabiki na upotoshaji.but kwakuwa unaota tunasubiri uchipue tutakumwagilia
  9. B

    Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    Mbona muuza unga wa USA wa Mbeya JJ hamumsemi.maana jukwaan mbele ya wazee wake anasalimu "washkaji vip.oya masela ni aje. "Bila hats kuangalia hadh ya anaozungumza nao sio wahun kama yeye anaharbu tu maadili ya ki tz
  10. B

    Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Hii inathibitißha kuwa in cooked data kwakuwa hats wateja milion nne walioko voda ni wateja wasio zidi laki mbili wako nA smart na hao hao pia wana tablet na kiasi kisicho zidi elfu sabini kinaongezeka kwa wanaotumia mtandao kwa internet activities the rest ni au hawatumii au wanatumia kwa...
  11. B

    Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Tatizo co ITV hats wao wamesomewa na cdm na wamewaletea watanzania wachuje na kutafakari maziwa na tui ni lip cc tui tumeliona ila cdm ni colour blindness wameshindwa kututofautishia .ila tuache ushabiki one day 1.6 signature mikoa 32 mmmh na kwa geografia ya tz this is a political art
  12. B

    Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Lazima tuhoji ubongo wa wana cdm cos hata chekechea hawezi danganywa kuwa lowasa amezunguka tanzania kwa siku moja na kupata1.6milion ya wazamin hizi ni siasa za mtaroni ebu mrudi darasani mkasome tena unless chadema waseme amewapataje
  13. B

    Majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi

    tafakari kabla ujafikiri, ni deo pekee mwenye uhakika
Back
Top Bottom