Recent content by baby voice

  1. B

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    naomba ushauri wenu ndugu zangu, mye ni mjamzito miezi nane ujauzito wa kwanza, leo asubuhi nilenda hospital kufanya kipimo cha utrasound, majibu yake,.... Majimaji yanayomzunguka mtoto hayatoshi, pia mtoto ana uzito mdogo sana Wt: 1442g, naomba ushauri nifanye nini au nile chakula gani angalau...
  2. B

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    habar dk! mimi ni mjamzito, ujauzto wang una wk12, sasa nina tatizo la kukojoa nasikia maumivu makali kama naungua vile, nimepima mkojo majibu nina UTI, na dawa nimechomwa powercef 1 leo, naomba kufaham dk je ina madhara kwa mtoto alie tumboni?
  3. B

    Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    ....idadi kamili ni ngapi wadau?
  4. B

    Waliochaguliwa usaili Jeshi la Polisi, graduate 2014

    dah! waweza yaweka hapa tuyaone mkuu., fanya hivo
  5. B

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    NI NYUMA YA PAZIA WADAU, haijatangazwa kwa puplic, ila mye kanidokeza jiran,(.......)
  6. B

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    Hi! wadau wa uzi huu, nmepata new newz kuwa wakat wowote orodha ya graduates itatoka,.
  7. B

    Kutoa mimba

    mbaya sana, ucjarb kabsa.
  8. B

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    mnh! et wakuu, ni kweli kwamba graduates wanaohitajika jeshi la polisi ni 200 Tz nzima?
  9. B

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    Ila wamechelewa sana kutoa hayo majina, kmya kimezidi.
  10. B

    Daktari mtaalam karibu tushirikiane

    mimi ni nurse assistant, msaada wako tafadhari mkuu! nipo tayari kwa hatua zote awali kwenye ufunguzi wa dispensary yako.
  11. B

    Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

    samahan mkuu! naomba unisaidie ufafanuz kidogo kuhusu hyo SLIDE.
Back
Top Bottom