Recent content by Baby Tonito

  1. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    kwahiyo nisubiri hadi tarehe 3/9 ndo niulize :(
  2. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    nimefanya hivyo...lakini saiv nikiingia sivioni, hapo ndo napata utata
  3. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    ni zile signed forms na vyeti nilisha upload sa saiv nmeingia kucheck sijavikuta ndo nauliza wenzangu ikoje...isije kua ni tatizo la kimtandao....vp status ya mwisho ikoje?
  4. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    ni zile signed form na vyeti...nilisha upload but saiv nimeingia just kuangalia ikoje nikakuta hazipo...ndo nauliza wenzangu vp.. mnaweza kuzi view baada ya kuwa mmetuma?
  5. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    kwaiyo naweza rudia ku upload tena? plz help
  6. B

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    nisaidie status ya mwisho baada ya ku upload inakuaje...maana niliupload but saiv nimeingie kucheck nakuta izo attachment hazpo...plz nataka kujua kama ni sawa au ni makosa ya mtandao/network
  7. B

    Wanawake wenye Maziwa yaliyosimama (Saa 6) hayana Hisia

    mtoa mada una kibamia wewe.. pole
  8. B

    Msaada: Kipengele cha occupation hakionekani HESLB

    naomba msaada pia nimekwama kipengele cha physical address kinahitaji nini?
Back
Top Bottom