Recent content by Baby Alone

  1. Baby Alone

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Kuch-kuch hota hai-
  2. Baby Alone

    JamiiForums Tanzania Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Mi hizo hadithi huwa hata sizi amini- na miaka yangu 30 na sijawahi kuona wala kushuhudia mauzauza ya aina yoyote- naskiaga tu kwa watu wakipigiana hizo hadithi-
  3. Baby Alone

    JamiiForums Tanzania Msaada madhara ya nyuzi zikiachwa mwilini baada ya kushonwa

    Nilipata jeraha la kuchomwa na kisu- nikashonwa- siku nilipoenda hospital kwa ajili ya kutoa nyuzi (almost baada ya wiki) wakati wa zoezi nafikiri nesi alisahau kutoa baadhi- hivi mpaka Leo ninazo na sina tatizo lolote la infection wala nn-
Back
Top Bottom