Recent content by babuzer

  1. babuzer

    JamiiForums Tanzania Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

    Kwa hiyo case yako utaipata. Kuna mmoja alishawahi kunichezeshea hivyo. Ila mwishoni benki walinisaidia nikaipata japo haikuwa amount kama hiyo ilikuwa chini ya million
  2. babuzer

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna tatizo, kwanini wanataka maridhiano?

    Ukiuliza maswali magumu kama haya ccm watakupa majibu mepesi
  3. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Mkuu mbona mimi ninayo chupi yenye kola.
  4. babuzer

    JamiiForums Tanzania Clouds FM Moshi shida nini mwezi unaenda wa pili hawapatikani?

    Ni kweli mkuu niko moshi kwa ajili ya likizo toka nimekuja siipati kabisa clouds
  5. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    jamani hizi pisi zitakuja kutuua
  6. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    hizi pisi zita kuja kutuua jamani
  7. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazungu hawapendi wanawake wenye makalio makubwa. Haya mambo yako huku kwetu Afrika tu

    Basi ninge kuwa naishi ulaya, na mimi wange niona kilema kwa jinsi ninge kula hao wenye ulemavu wa matako
  8. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mchepuko wangu baada ya yeye kuwa maarufu

    hizi pisi zitakuja kutuua jamani
  9. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa kinyamwezi

    Siyo wachoyo
  10. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Mkuu huu ni ushujaa
  11. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Huo mvest, siyo poa
  12. babuzer

    JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Mbona sisi hatu wasimangi wanywa soda kausheni basi kama vipi
  13. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Huyu wangu anajua hadi F-16 ndege zaki vita. Anasokiliza DW, BBC swahili utamuambia nn sasa kuhusu vita za middle East au ya ukraine vs Russia. Kwa kifupi ni mjuaji mwenzangu tu. Siku aliyo chomoa battery nikajua ni kamanda ni siku ananielezea kuhusu kifo cha kiongozi wa hezbollah Nasrallah...
  14. babuzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni mchezo mchafu wakati wewe unalia upande wa pili kuna mtu anachekelea

    hizi pisi zitakuja kutuua jamani
  15. babuzer

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga achia ngazi

    Mzee magoma effect. Bado hamjasema
Back
Top Bottom