Recent content by Babuu Wesaki Ritte

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hana staha za kauli kwa mamlaka, arudishwe Ubelgiji

    Utamaskinishwa kwa ujinga wako.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hana staha za kauli kwa mamlaka, arudishwe Ubelgiji

    Wasomi tunaowategemea ndio mmegeuka kuwa chawa wa mtawala aibu sana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hana staha za kauli kwa mamlaka, arudishwe Ubelgiji

    Hawezi kujibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hana staha za kauli kwa mamlaka, arudishwe Ubelgiji

    Hakuna matusi na ujinga zaidi ya kuuza rasilimali zetu, mmegeuka wajinga mnaopenda kuishi kwa kujipendekeza kwa watawala.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuwa Chama cha siasa wamegeuzwa "pressure group"..na wanafurahia...

    Kumzuia mwizi ni bora kuliko umwache aibe aende ndipo ukamtafute umpeleke mahakamani hilo halipo utapoteza muda wako bure, halafu hakuna Mahakama ya kumshtaki huyu Mama hapa duniani.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

    Bandari kwanza
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani, mimi ni mwanaume na watoto wawili wadogo

    Hilo halikuhusu muhimu mfanyakazi anahitajika.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Mkuu tunaokoma ni mimi na wewe pamoja na wazazi wako kule kijijini, kwani nyie wana ccm mkienda kutuma na kutoa hela mnakuwa na kadi ya ccm ili msikatwe tozo? kama sivyo acha ushabiki wa kijinga tunaumia wote pamoja na uccm wako.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, Tumefikje hapa tulipo na DP World?

    Hakika Watanzania wameamka sio wale wa miaka ya 2000 wa sasa wanajitambua.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, Tumefikje hapa tulipo na DP World?

    Wameanza kuua ili kuwatisha wengine, lengo kuwakatisha tamaa, hakika Watanzania wataendelea kutetea rasilimali za taifa lao hawatarudi nyuma hadi kieleweke, maana hawa jamaa wako tayari kuua ili kutimiza lengo lao.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwapandisha kwenye daladala watu wanaoomba msaada sio nzuri

    Mkuu hawapandishwi na dreva wala konda hupanda kama abiria na wengine hulipa kabisa nauli, sasa konda ataanzia wapi kumshusha ikiwa nauli yake kalipwa, kwa hiyo hawezi kurudisha hela kisa ombaomba.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

    Hilo ni jambo la kawaida yanawezekana ni mgawanyo wa mali za urithi.
Back
Top Bottom