Recent content by Babushee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aiapia CHADEMA kutotawala nchi

    STORY MFU YA MACHI 2011 KABLA YA UKAWA. MAMBO YAMEBADILIKA SANA TANGU WAKTI HUO!:rockon:
  2. B

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

    Wabunge wote na Wakilishi kwenye bunge la mungano hawakupewa idhini na Watanzania ya kuwakilisha kwenye bunge la katiba. Watanzania wanawakilishwa na baadhi ya wale 201 tu!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    Chadema inajitoa vipi kwenye muungano ambao haupo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na UK Ex-Prime Minister, Tony Blair ikulu Dar es salaam

    Hawa vigogo watakuja wote kuvuna "shamba la bibi" na kutoa pipi kwa wajukuu kupoza koo!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tunataka barabara ya 'Kanisa Road' ifunguliwe! - Lema

    Hivi waliompa Mh Lema majibu ya mke wa RC kutaka ifungue kwa sababu ya vumbi walikua hawana haya maelezo au ni ule uzoefu wa kutoa majibu mepesi mepesi bila kujali matokeo yake!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya tume ya wanafunzi kufeli mitihani tutarajie haya hapa...!

    Sabababu zote za kufeli wanazijua ni kwamba mbinu zao (ccm) kutawala miaka mingine hamsini zimefichuka mapema..... eti ukiwa na wajinga unawatawala kirahisi! Lakini half-baked ni "time bomb". Hivi kwa nini wakati huu namba ya mtahiniwa ndo iliorodheshwa bila majina kama matokeo ya miaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    If the main objective for piping the gas to Dar is for electricity production why not produce it (electricity) in Mtwara and distribute it through the national gril. This will ensure local employment and to me makes economic sence particularly for the fact that there is high potential for large...
Back
Top Bottom