Saa nyengine kuna njia ya kuacha jambo lipite. Na hii ndiyo sifa ya Uungu. Kama mungu angelitolea tamko/ hukumu kwa kila baya basi dunia isingekuwa hapa leo.
Kurudi kwenye mada ni kwamba: kiuhalisia hakuna mtu anayependa mwenziwe ateseke wala adhalilike. Ila kwa kesi hii kusema ni kuwapa kichwa...
hata mimi wamenitumia leo.ila sidhani kama kuna ukweli kwenye hili.Mwenye taarifa au uelewa zaidi waje watueleweshe ila so far shilingi mia yangu kuwapa kwa sasa ni kubwa kuliko hela wanayosema nime(ta)shinda
unatakiwa ufikirie kabla hujaandika.course ya petroleum na geology(mwaka wa kwanza) Madini hutolewa kwa mfumo wa excursion baina ya walimu na wanafunzi.Walimu huwapeleka wanafunzi Mbeya,Mtwara na Tanga tena maporini kwa ajili ya kuona features tofauti.Je nazo zinahitaji field za viwandani?
kinatambulika.na ni miongoni mwa chuo kilichokuwa tegemeo kwa kutoa mafundi mchundo kwenye sekta ya madini Tanzania.lakini nahisi ni ile hali ya kufanya kazi kwa mazowea tu kiongozi ambayo inapaswa kukemewa
Habari za muda huu popote mlipo ndugu zangu.Mimi ni mwanafunzi muhitimu wa Chuo cha Madini Dodoma. Nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka huu wa masomo 2016/2017.
Miezi miwili baada ya kumaliza masomo nikapokea ujumbe wa kuwa result statement ziko tayari, na kwa hivyo kwa yeyote alie tayari basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.