Recent content by babudo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kitendawili

    hapo ni kwa mfalme mswati.he huyu jamaa hatosheki.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dah Huyu mtoto anakubalika bhana.......

    inapendeeza.lakini haijatulia ni maradhi ya moyo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maisha matamu

    mzee anatumia mafao yake alikuwa baharia huyo.ndio muda wake wa kujidai kusahau machungu ya ujana wake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkorogo

    yaani jana mtwara mpaka nilishangaa mtu unabadilisha rangi mpaka rangi hajulikani.mtu unakuwa kichekesho.kama mdori.kuiga tutakufa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto usiye na uhakika nae

    kitanda hakizai haramu.sasa kama vidole vinafanana na vyako.inawezekana sura ni ya babu yake.ucjichanganye akili.soma genesis.pia tafuta njia sahihi ya kumrekebisha mama watoto wako ili uwe na imani nae
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni yupi bora kati ya hawa?

    tabia nzuri.mambo mengine utarekebisha mwenyewe akiwa ndani
Back
Top Bottom