Wewe HOUSE WIFE nakupa Big up sana kwani uwezo wako wa kufafanua mambo ni mkubwa sana. sio vema kudraw conclusion hasa kwa mambo ya msingi kimaisha. Je, unadhani kweli ndivyo wakurya tulivyo? picha hiyo na mentality ambazo watu wengi wanazo juuu ya kabila hili zinatia simanzi sana katika jamii...
Ukichunguza kwa undani mtu anayetoa masharti katika kufanikisha azma yake ya moyoni huwa hana sifa za kuolewa au kuoa. haitotokea mke na mume wakawa na sifa sawa,hivyo balance of nature itakuja pale tu upande mmoja atakapokuwa na mapungufu na mwingine uwe umekamilika.:sad:
Pole kwa yaliyokupata mjukuu wangu. umekutana na vidaka wa hamu wasio na haya. Nashukuru tu kuwa imetokea mara moja na usikubali tena moyo wako kuyumbishwa na mapenzi uchwara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.