Naombeni ufafanuzi juu ya nini cha kufanya endapo mshitakiwa
Amekaa maabusu kwa muda wa wiki moja mlalamikaji hajafika hapo mahakamani?
Na je kisheria inakuaje swala likiwa hivyo?
Jamani kuna du mmoja ananipenda xana ila me simpendi
Na imefikia anajisifia kitaani anatembea na me hata kufikia kuanza kunitumia hela kwenye cm yangu
Nimfanya je?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.