Recent content by Babu Nina

  1. B

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Lowasa ndiye rais ajaye hata mzee wa kaya analitambua hilo
  2. B

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Hio ni toroka uje tunawasubiri wengine
  3. B

    Maneno ya Busara ya Mh. LOWASSA

    Wanaosema ni mgonjwa watakufa wao kwanza tena sio kwa ajal bali maradhi na watamwacha rais wao madarakani, viva lowasa
  4. B

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Serekali wanajiaibisha wenyewe sa iweje waisrael waingie tz bila wao kujua? Mipakani hakuna ulinzi?
  5. B

    GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    hapana huyu sio Ngoyai hizi picha wameunganishwa kwel
  6. B

    Mgombea yupi ?Wa Uraisi anakubalika mkoa up?i

    Lowasa ndo rais ajae, TZ INAJUA NA DUNIA INAJUA
  7. B

    Kampeni za Urais: Nani wako nyuma ya Lowassa na kwanini?

    hawa ni wananchi na majina yao ni watanzania
  8. B

    Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Asee huyu jamaa ni mzima kwel???
  9. B

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    watz hatujal lowasa ndo rais watadanganya sana ili oct 25 ndo mwisho wao
  10. B

    Mwaliko wa Dr.Slaa JF, kuzungumzia ufisadi wa CCM

    tatizo sio ufisadi tatizo n URAIS
  11. B

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Slaa kila kitu kina mshinda hana historia katika maisha yake kufanya mambo makubwa KAENDA UPADRI UKAMSHINDA, KAOA KAACHA MKE NA WATOTO WA2 KAPATA MTOTO WA MJINI KUTOKA BUKOBA KAMFUNGIA NJE KAMLAZA KWENYE GARI URAIS KAKOSA KUWADANGANYA WATZ KASHINDWA PROPAGANDA ZAKUMCHAFUA RAIS KASHINDWA sasa ww...
  12. B

    Ombi kwa Dr. Slaa; Usiondoke bila kutuaga, tafadhali zunguka nchi nzima uwaage wafuasi wako

    Slaa wa zamani sio uyu wa sasa jamaa kumbe nae anafika bei nkazani n priceless
  13. B

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    IV LOWASSA NI NANI?? ccm wanamsema RAIS WETU slaa nae kwa RAIS WETU zitto nae KWA RAIS WETU lipumba nae KWA RAIS WETU. IV LOWASSA NI NANI??? - JIWE KUU LA PEMBENI
Back
Top Bottom